TANZANIA imezidi kung’ara katika sekta mbalimbali Afrika, ikiwemo ya mahakama. Imeelezwa kwamba utendaji wa mahakama nchini ...
DAR ES SALAAM: MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuamuru mmiliki wa Hospitali ya Salamaan, Dk Abdi Warsame ,60, kulipa kiasi cha Sh milioni 24.8 baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuisababishia ...
Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu (AfCHPR) imeamua kwamba Tanzania ilikiuka baadhi ya haki za wanamuziki Nguza Viking maarufu Babu Seya na mwanaye, Johnson Nguza 'Papii Kocha' katika kesi ...
Mahakama ya Afrika imeamuru Tanzania kuviruhusu vyama vya siasa kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais mahakamani Katiba ya Tanzania hairuhusu mahakama kuhoji wala kupinga matokeo ya urais mara ...
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha, amezindua maadhimisho ya Wiki ya Sheria nchini kwa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ...
MADAI ya malimbikizo ya mishahara ya waandishi wa habari 10 dhidi ya Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe yametua mbele ya Jaji Dk. Modesta Opiyo, waandishi wanaomba akamatwe aende ger ...
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ameeleza namna changamoto ya ucheleweshaji wa kesi na utoaji wa nakala za hukumu ilivyokithiri na ...
Donald Trump alikuwa ameitaka Mahakama ya Juu kuchelewesha kuanza kutumika ili kumpa fursa ya kuchukua hatua mara tu atakaporejea Ikulu ya White House. Mahakama ilikataa chaguo hili. Wizara ya ...
Sakata la wachezaji watatu wa timu ya Singida Black Stars (SBS), waliopewa uraia wa Tanzania, limechukua sura mpya baada ya ...
Mahakama ya Korea Kusini imetupilia mbali kwa mara nyingine, ombi la waendesha mashtaka la kuongeza muda wa kuzuiliwa kwa Rais aliyeondolewa madarakani na Bunge Yoon Suk Yeol. Taarifa hiyo ...