The management of Federal Housing Authority, FHA, has ordered the suspension of all ongoing development work in its estates in Lugbe, Karu and Kubwa in the Federal Capital Territory. Oyetunde Ojo ...
TotalEnergies inaondoka Mali. Kampuni kubwa ya Ufaransa ya mafuta iliuza hisa zake mwanzoni mwa mwezi huu wa januari kwa Coly Energy Mali, shirika linalosimamiwa na kampuni ya Benin Petro.
Kwa kuwa imekuwa mojawapo ya mzunguko wa kimataifa wa mashindano tangu 2021 wakati hafla hiyo ilirejea kwenye ramani ya dunia (WRC) baada ya miaka 19, waandaaji wanakesha kila siku ili kuhakikisha ...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa onyo la dharura kwa wananchi kuhusu hatari inayoweza kusababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha, pamoja na maporomoko ya ...
The Federal Housing Authority (FHA) has announced the suspension of all ongoing development activities in its estates located in Lugbe, Karu, and Kubwa in the Federal Capital Territory, Abuja. A ...
Kocha wa Yanga, Sead Ramovic mara alipotua Jangwani akitokea TS Galaxy ya Afrika Kusini kuchukua nafasi ya Miguel Gamondi alionekana kuvutiwa na Maxi kwa namna anavyopambana ndani ya uwanja akisema ni ...
Amesema ujio huo umetokana na heshima kubwa ambayo Tanzania imeanza kujijengea katika uandaaji wa mashindano hayo na kusema wamemwalika Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgeni rasmi katika tukio hilo.
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele maarufu Steve Nyerere, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Wizara ya ...