CONGO: WAFANYAKAZI wawili katika ubalozi wa Kenya katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Kinshasa, walilazimika ...
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeeleza kuwa inachukua hatua madhubuti kuboresha ufaulu wa masomo ya Sayansi, ...
KUNDI la waasi wa M23 limeutwaa uwanja wa ndege wa Goma, ambapo sasa unashikiliwa na waasi hao, kwa mujibu wa vyanzo ...
GOMA : MAPIGANO katika mji wa Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, yamesababisha vifo vya watu 17 na ...
RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amekutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kujadili kuongezeka kwa ghasia mashariki ...
Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson ameupongeza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa maboresho makubwa yaliyofanyika hususan ...
JESHI la Ulinzi la Rwanda (RDF) limethibitisha kwamba raia watano wa Rwanda waliuawa kwa makombora yaliyorushwa na jeshi la ...
Makamu wa Rais Dk Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa ...
Dk. Biteko, amesema Rais Samia ameongoza kwa mafanikio makubwa katika sekta ya nishati nchini kwa kuzalisha, kuhifadhi umeme ...
Kupitia mpango huo unatarajia kuongeza kasi ya kuunganisha umeme nchini hadi kufikia asilimia 72 ifikapo mwaka 2030. “Ili kufanikisha azma hiyo ndani ya muda wa miaka mitano ijayo, tutahitaji ...
KENYA : IMEELEZWA kuwa karibu wanawake 200 waliuawa nchini Kenya mwaka jana, katika matukio ya ukatili wa kijinsia.
INDIA : SERIKALI ya India na China zimekubaliana kuanzisha safari za ndege za moja kwa moja za abiria kati ya nchi hizo mbili ...