Chama cha ACT-Wazalendo kimepuliza kipenga kwa wanachama wake wenye sifa za kugombea uongozi katika Uchaguzi Mkuu 2025 kuanza ...
Uchaguzi wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) unaofanyika kesho Alhamisi Januari 16, 2025 unatajwa kuchora ramani ya matokeo katika uchaguzi wa nafasi ya ...
Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi ameizawadia timu ya Taifa ya Zanzibar 'Zanzibar Heroes' Sh50 milioni baada ya kutwaa ...
Serikali imenunua vifaa vya kisasa vyenye thamani ya Sh3 bilioni kwa ajili ya kuanza uchorongaji wa visima vya kuzalisha umeme wa nishati jadidifu ya jotoardhi katika eneo la Ziwa Ngosi, ...
Miili ya watu 11 waliopoteza maisha katika ajali ya lori katika Kijiji cha Chang’ombe, Kata ya Segera, Wilaya ya Handeni, ...
Wakati ukizinduliwa mpango mkakati wa kisekta wa lishe Zanzibar wa miaka mitano, Makamu wa Pili wa Rais, Hemed Suleiman Abdulla amezitaka wizara na taasisi zinazohusika kujipanga ...
Baadhi ya wadau wa sekta ya kodi mkoani Mara wamependekeza kupunguzwa kwa wingi wa kodi ili kuimarisha uchumi wa taifa.
Serikali imesema bado inaendelea na uchunguzi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya (40) maarufu Dk Manguruwe.
Kesi ya mauaji inayomkabili Sophia Mwenda anayedaiwa kumuua binti yake akishirikiana na kijana wake wa kiume, imerejeshwa ...
Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Maswa (Mauwasa) katika kuboresha huduma za maji kwa wakazi wa Maswa mkoani Simiyu ...
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mjini, Julius Mtatiro ametoa agizo kwa Ofisa utumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, ...
Hali ya mambo nchini Kenya inaonekana kuendelea kuwa tata, baada ya Waziri wa Utumishi wa Umma, Justin Muturi kufichua ...